AfyaEbola: Kirusi nadra lakini cha hatari sana To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAmina Abubakar06.12.20186 Desemba 2018Ugonjwa wa Ebola ni ugonjwa hatari unaotokana na ulaji wa nyama za porini, mwanadamu huambukizwa baada ya kushika damu au majimaji ya mnyama alieambukizwa na baadae ugonjwa huo unasambaa kirahisi kutoka mtu mmoja hadi mwengine. https://p.dw.com/p/39bQzMatangazo