Mwanaharakati wa upinzani Rwanda, Diane Rwigara ameachiliwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja kufuatia mashtaka yakiwemo uchochezi dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Sikiliza Mahojiano ya Sophia Cinyezi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Kenya, Barrack Muluka.