1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Beijing. Mazingira mada kuu katika mkutano na kati ya Wajerumani na Wachina.

8 Desemba 2006
https://p.dw.com/p/CClZ

Ujerumani na China zimefikia makubaliano ya kufanyakazi kwa pamoja zaidi kuhusu masuala ya mazingira.
Waziri wa mazingira wa Ujerumani Sigmar Gabriel alisema hayo wakati wa ziara ya siku mbili mjini Beijing.
Katika nusu ya pili ya mwaka 2007 , wawakilishi kutoka wizara husika nchini Ujerumani na China pamoja na mashirika husika duniani wataaza mazungumzo kuhusu uchafuzi wa mazingira, matumizi ya kemikali na usafi wa maji.