Baada ya Durban, dunia itarajie nini?
28 Desemba 2011Matangazo
Sudi Mnette anauhakiki mkutano wa mazingira uliondaliwa na Umoja wa Mataifa na kufanyika Afrika Kusini mwishoni mwa mwaka 2011, akijaribu kuangalia hatua zinazofuatia baada ya mkutano wenyewe.
Makala: Baada ya Durban, dunia itarajie nini?
Mtayarishaji: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji