Zifahamu huduma za "streaming" kwa ajili ya muziki na filamu
Vyombo vya habari
Elizabeth Fredrick Shoo4 Aprili 2017
Elizabeth Shoo amekuandalia stori kuhusu kampeni ya kupambana na ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi Marekani. Na kwa wapenzi wa muziki na filamu tutazungumzia huduma za streaming zinazuruhusu wateja kuangalia moja kwa moja filamu ama kusikiliza muziki.