1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Xi Jinping, Tanzania

Admin.WagnerD26 Machi 2013

Rais Mpya wa Chinia ameanza ziara yake yenye lengo la kustawisha uhusiano wa biashara baina ya tafa lake na bara la Afrika.

https://p.dw.com/p/184az
China's President Xi Jinping (front L) and First Lady Peng Liyuan take part in a welcoming ceremony upon their arrival at Julius Nyerere International Airport with his Tanzanian counterpart Jakaya Kikwete (front 2nd L) and First Lady Salma Kikwete (front R) in Dar es Salaam, March 24, 2013. Xi faces growing calls from policymakers and economists in Africa for a more balanced trade relationship between the continent and China as he arrives in Tanzania at the beginning of an African tour on Sunday. REUTERS/Thomas Mukoya (TANZANIA - Tags: BUSINESS POLITICS)
Xi Jinping Afrikareise Tansania Jakaya KikwetePicha: Reuters

Ziara ya Rais mpya Xi Jinping wa China nchini Tanzania imeingia siku ya pili na ya mwisho, (25.03.2013) kabla ya kuelekea Afrika ya Kusini na baadaye Jamhuri ya Congo. Leo asubuhi Rais Jinping alitoa hotuba muhimu mjini Dar es Salaam na kufafanua juu ya sera za nchi yake kuelekea bara la Afrika. Mohamed Abdul-Rahman, alizungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi, Profesa Ibrahim Lipumba, aliyefuatilia hotuba hiyo na kwanza alimuuliza kile muhimu alichokizungumzia kiongozi huyo wa China. Kusikiliza hotuba hiyo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi:Mohammed Abdul-Rahman
Mhariri: Mohammed Khelef