Hatimaye Zanzibar imekubaliwa uanachama wa shirikisho la soka barani Afrika CAF. Waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte ashinda uchaguzi mkuu na Mahakama ya jimbo la Hawaii nchini Marekani imezuia marufuku mpya ya rais Donald Trump. Papo kwa Papo 16.03.2017.