1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yaadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi

12 Januari 2021

Visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi ya mwaka 1964 huku rais Hussein Ali Mwinyi akisema Serikali yake imelazimika kupunguza matumizi katika sherehe hizo kutokana na uhaba wa fedha ulikosababishwa na janga la korona duniani. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Zanzibar Salma Said.

https://p.dw.com/p/3noab