Zanzibar: Waziri Hamza juu ya uamuzi wa CCM kuhusu serikali ya Umoja wa Kitaifa
16 Februari 2010Matangazo
Na kati ya mambo yaliokabiliwa na kikao
hicho kuyajadili ni hali ya kisiasa Viswani Zanzibar baada ya Baraza la wawakilishi, kwa kauli moja,
kulikubali pendekezo la kuundwa serikali ya Umoja wa Taifa. Lakini CCM ilisema jana kwamba
serikali hiyo ya Umoja wa kitaifa inayowazwa iwe baada ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Oktoba
mwaka huu.
Othman Miraji amezungumza kwa njia ya simu na waziri wa nchi katika ofisi ya waziri kiongozi wa Zanzibar, Hamza Hassan Juma, juu ya uamuzi huo.
Mahojiano:Othman Miraji/Waziri Hamza Hassan
Mhariri:Abdul-Rahman,Mohamed.