1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mansoor: "Najutia kutokuusemea ubaguzi nikiwa madarakani"

Mohamed Abdul-Rahman2 Machi 2015

Kama kuna jambo analolijutia waziri wa zamani katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansoor Yussuf Himidi, ni kutokukemea uovu wa ubaguzi wakati bado yumo kwenye nyadhifa serikalini.

https://p.dw.com/p/1Ejxd
Mansoor Yusuf Himidi, mshauri mkuu wa mikakati wa chama cha CUF, Tanzania.
Mansoor Yusuf Himidi, mshauri mkuu wa mikakati wa chama cha CUF, Tanzania.Picha: DW/M.Khelef

Katika mahojiano haya na Mohamed Abdul-Rahman, Mansoor Himidi anaangalia nyuma kwenye siku zake akiwa kiongozi mkuu kwenye SMZ na Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar na kuzungumzia mustakbali wa kisiasa na kiuchumi wa visiwa hivyo huku chama chake kipya cha CUF kikiutangazia mwaka 2015 kuwa "mwaka wa maamuzi".

Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mahojiano: Mohamed Abdul-Rahman/Mansoor Yusuf Himidi
Mhariri: Mohammed Khelef