Zanzibar: Amani Karume ajivunia na mafanikio Visiwani
14 Novemba 2012Matangazo
Akizungumza na Aboubakary Liongo muda mfupi kabla ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho cha CCM mjini Dodoma jana, Amani Karume amesema kuwa serikali ya umoja wa kitaifa na hali ya amani iliyokuwepo ni vitu anavyojivunia.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Yusuf Saumu