Timu ya Yanga imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Al Hilal katika mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora jumapili katika Uwanja wa Al Hilal mjini Omdurman nchini Sudan. Msikilize mwanamichezo wa DW Mindi Joseph.