Ziara ya nchini Ethiopia ya waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ambayo ameifanya pamoja na waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa anayeshughulikia masuala ya Ulaya na ya nje Catherine Colonna ni miongoni mwa yaliyopewa uzito na magazeti ya Ujerumani kama mnavyosimuliwa na Zainab Aziz