1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wimbi la wakimbizi Bosnia

Rashid Chilumba19 Juni 2019

Makala ya mwangaza wa Ulaya leo inatizama jinsi taifa masikini la Bosnia linavyohangaika na wimbi la wakimbizi wakati tayari lenyewe limezidiwa na idadi ya watu na uwezo wa kutoa huduma ya kijamii. Msimulizi ni Rashid Chilumba karibu.

https://p.dw.com/p/3KgmH