Waziri Mkuu wa Japan Yasuo Fukuda ajiuzulu
2 Septemba 2008Matangazo
Fukuda amepongezwa na mataifa mengi ya nje kama vile China ambayo imesema kuwa katika kipindi cha takriban mwaka mmoja tu wa kuwa madarakani alifanya mengi katika kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.Lakini kwa ndani kujiuzulu kwake kuwasha moto wa kisiasa.
Kutoka Tokyo Japan Ali Attas ametuandalia taarifa ifuatayo.