SiasaWatumia taka kutengeza gesi ya kupikiaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari27.11.201827 Novemba 2018Katika kijiji kimoja kidogo nchini Benin, wenyeji wanasema taka ni dhahabu. Wakfu mmoja kutoka Uswisi kwa jina ReBin umefungua kituo kinachobadilisha taka za nyumbani na kuzitumia katika mapishi kama gesi. https://p.dw.com/p/3915pMatangazo