1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wengine 65 waokolewa Shakahola

Halima Gongo13 Juni 2023

Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya Umma nchini Kenya Nurdin Haji ameitaka mahakama ya Shanzu mjini Mombasa kuwazuilia manusura 65 wa msitu wa shakahola waliokataa kula na kunywa. Katika ombi lake Haji anataka manusura hao walazimishwe kula wakisubiri kuchunguzwa afya ya akili kabla ya kushtakiwa kwa kosa la kujaribu kujiua. Idadi ya waliofariki shakahola imefikia 284. Halima Gongo aliripoti kwa kina.

https://p.dw.com/p/4SVm4