1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu waliopotea kwa njia isiyoeleweka Kenya

27 Oktoba 2022

Malalamiko na madai kuhusu wananchi kuwawa au kupotea kwa njia isiyoeleweka yamehanikiza vyombo vya habari nchini Kenya. Hatua ya Rais William Ruto kuvunjilia mbali kitengo maalum cha kupambana na uhalifu, SSU, katika idara ya upelelezi wa jinai DCI, na ambacho alikihusisha na madai hayo, imepokelewa vyema. Sikiliza makala ya Mbiu ya Mnyonge iliyoandaliwa na Wakio Mbogho kutoka Nakuru.

https://p.dw.com/p/4IkUq