Katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo asasi za kiraia katika wilaya za Uvira na Fizi zimesema watu 70 wameuwawa tangu kuanza kwa mapambano kati ya jeshi la Burundi na waasi wa Red Tabara wanaoipigana wanaotokea mashariki ya Congo na serikali. Jeshi la Congo hata hivyo linakanusha uwepo wa jeshi la Burundi katika eneo hilo. Kuna nini? Mitima Delachance alituarifu kwa kina kutoka Bukavu.