1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 30 wahukumiwa kifo DRC

17 Mei 2021

Watu 30 walihukumiwa adhabu ya kifo Jumamosi iliyopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa hatia ya kuhusika katika vurugu za sikukuu ya Eid el Fitr, ambapo askari polisi aliuawa hapo hapo, na na mzee mmoja wa miaka 81 kufariki baadaye. Sikiliza mahojiano kati ya Daniel Gakuba na Mustafa Mwiti ambaye ni mwenyekiti wa mashirika ya kiraia katika mkoa ya Kivu.

https://p.dw.com/p/3tUi9