1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Watoto wa mitaani, hadi lini?

12 Juni 2018

Bado kuna ongezeko la watoto wa mitaani na wanaofanya kazi nchini Tanzania na kukabiliwa na hatari kutokana na mazingira hatarishi wanayoishi. Miji mikubwa ndio hasa ina idadi kubwa ya watoto hawa. Pamoja na hatua kadhaa za kukabili tatizo hilo, bado hakuna dalili ya kupungua. Kulikoni? Sikiliza makala haya ya Mbiu ya Mnyonge.

https://p.dw.com/p/2zMjy