1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto njiti na wachanga wakabiliwa na kitisho, Kenya

Wakio Mbogho HON20 Julai 2023

Nchini Kenya, maafisa wakuu kwenye serikali ya kaunti ya Nakuru wameanza kuchukua hatua kufuatia ufichuzi kwamba zaidi ya watoto 20 wachanga hufariki kwenye hospitali kuu ya Naivasha kila mwezi kutokana na kuharibika kwa mashine ya kuwasaidia watoto njiti na wachanga. Taarifa zaidi ililetwa na Wakio Mbogho.

https://p.dw.com/p/4UByC