1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniKenya

Waswahili wa Changamwe Kenya wahifadhi vipi utamaduni wao?

6 Julai 2023

Wachangamwe ni miongoni mwa makabila matatu makuu ya waswahili wa Mombasa, pwani ya Kenya maarufu ya Thalatha Taifa. Walikuwa wenyeji wa Changamwe na maeneo ya karibu hadi upande wa magharibi mwa kisiwa cha Mombasa. Tazama video kuona wanavyohifadhi utamaduni wao.

https://p.dw.com/p/4TTnc