You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nigeria yatinga robo fainali AFCON kwa kuipiga Kamerun 2-0
Ademola Lookman alifunga mabao yote mawili katika ushindi wa Nigeria wa 2-0 dhidi ya mahasimu wao wa zamani Kamerun.
Watu 30 wauawa Nigeria
Takribani watu 30 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika jimbo la katikati mwa Nigeriala la Plateau.
Niger yasitisha uchimbaji madini hadi ukaguzi ufanyike
Niger imesimamisha kwa muda utoaji wa leseni mpya za uchimbaji wa madini na kuagiza ukaguzi wa sekta hiyo.
Wanajeshi 10 wa Niger wajeruhiwa, wanamgambo wauawa
Serikali ya Niger imesema wanajeshi wake 10 wamejeruhiwa kwenye mapigano katika eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Blinken ziarani Afrika kupunguza ushawishi wa Urusi
Antony Blinken yupo barani Afrika kuinadi Marekani kuwa ni mshirika bora wa nchi za eneo la Sahel.
Blinken ainadi Marekani kama mshirika wa usalama Afrika
Blinken anafanya ziara katika mataifa manne ya Afrika - Cape Verde, Ivory Coast, Nigeria na Angola.
Blinken ziarani Afrika kudumisha ushawishi wa Marekani
Antony Blinken atembelea Afrika Magharibi wakati ukosefu wa utulivu katika ukanda wa Sahel ukileta wasiwasi zaidi.
Blinken aanza ziara ya siku tano barani Afrika
Ziara hiyo ya siku tano itajadili pia masuala ya usalama na mambo mengine muhimu
Kiwanda cha mafuta cha Dangote chaanza uzalishaji Nigeria
Kiwanda cha Dangote kina uwezo wa kuzalisha mapipa 650,000 kwa siku huenda kikaleta mapinduzi makubwa
Madai ya ubakaji dhidi ya TB Joshua yawatikisa Wanjilisti
Mwinjilisti wa televisheni wa Nigeria marehemu TB Joshua anatuhumiwa kufanya unyanyasaji mkubwa wa kingono.
Milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini yaua watu 10 Nigeria
Milipuko hiyo imeshuhudiwa karibu na mpaka na Cameroon katika eneo lenye harakati za makundi ya kigaidi.
Waziri wa kupambana na umasikini afutwa kazi Nigeria
Beta Edu asimamishwa kazi kufuatia kadhia ya kufanya miamala ya fedha za kusimamia miradi ya masuala ya ustawi wa jamii.
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Kukabili tatizo la mfadhaiko baada ya kiwewe
Jinsi ya kukabili tatizo la mfadhaiko baada ya kiwewe
Mashambulizi ya magenge yauwa watu 160 katikati mwa Nigeria
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mfululizo wa mashambulizi katikati mwa Nigeria imepanda na kufikia 160.
26.12.2023 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Watu 113 wauawa katika mashambulizi katikati mwa Nigeria
Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mkururo wa mashambulizi katikati mwa Nigeria.
Watu 16 wauwawa kwenye shambulio jimbo la Plateau, Nigeria
Watu 16 wameuwawa kwenye shambulio lililotokea eneo la kati kaskazini mwa Nigeria.
Abiria Nigeria kusafiri kwa nusu nauli katika kipindi hiki
Abiria Nigeria kusafiri nusu ya nauli katika kipindi hiki
16.12.2023-Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius atakwenda Niger wiki ijayo kutathmini hali ya vikosi vyake kufuatia mapinduzi ya Julai na kuondoka kwa wanajeshi wa ulinzi wa amani katika nchi jirani ya Mali.
ECOWAS: Juhudi za kukomesha mapinduzi hazijazaa matunda
Viongozi wa ECOWAS kwa mara ya kwanza wametambua kuwa juhudi zao za kukomesha mapinduzi ya kijeshi hazijazaa matunda
Niger na Togo wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Marais wa nchi mbili hizo wakubaliana kushirikiana katika usalama wa kikanda na barabara inayounganisha Lome na Niamey.
Nigeria kuwaadhibu waliohusika na mashambulizi ya droni
Nigeria imeahidi kuwaadhibu wanajeshi waliohusika na shambulizi la droni lililowaua kwa bahati mbaya raia 85
Makala ya Utamaduni na Sanaa na sekta ya filamu Afrika
Makala ya Utamaduni na Sanaa na sekta ya filamu Afrika. Ungana na Saumu Mwasimba akiangazia sekta hiyo.
Jeshi la Nigeria lawaua watu 85 katika shambulizi la droni
Rais Tinubu aamuru uchunguzi ufanyike kufuatia shambulio la droni ya jeshi iliyouwa watu 85 katika kijiji cha Tudun Biri
Niger yatengua sheria ya kuwabana wanaokwenda Ulaya
Utawala wa Niger watengua sheria ya kuwabana wahamiaji wanaokwenda Ulaya.
Rivers United ya Nigeria yaishinda 3-0 Academica Lobito
Rivers inaongoza kundi C kwa tofauti ya mabao mbele ya Club Africain ya Tunisia iliyoshinda 2-0 dhidi ya Dreams ya Ghana
Nigeria yaingia makubaliano ya kusambaza gesi Ujerumani
Nigeria imesema imeingia makubaliano na Ujerumani ya ugavi wa gesi na Ujerumani kuwekeza katika nishati endelevu.
Nigeria na Ujerumani zatia saini makubaliano ya gesi
Nigeria itasafirisha tani 850,000 za gesi asilia kila mwaka nchini Ujerumani, na baadaye kiwango hicho kitaongezeka.
Watu 60 wahofiwa kufa katika vita kati ya makundi ya jihadi
Makundi hayo mawili ya jihadi yameingia katika vita vikali vya kuwania mamlaka.
Ujerumani huenda ikawatimua maelfu ya wahamiaji wa Nigeria
Hata hivyo wataalamu wanaonya kuhusu mazingira yasiyo salama kwa wahamiaji wanaorejeshwa Nigeria.
Ulinzi waimarishwa uchaguzi wa majimbo matatu Nigeria
Polisi nchini Nigeria inaimarisha ulinzi katika majimbo matatu yanayofanya uchaguzi wa magavana.
Mkutano wa ushirikiano wa Saudi Afrika wafunguliwa Riyadh
Mwana mfalme wa Saudia asema kuwa takriban watu milioni 800 duniani hawana kabisa huduma muhimu ya nishati ya umeme.
Mkutano wa uchumi kati ya Afrika na Saudia waanza Riyadh
Saudi Arabia imetiliana saini makubaliano ya uwekezaji kwenye sekta ya nishati na mataifa kadhaa ya Afrika.
Nigeria: Watu 2 wafariki kufuatia mlipuko Ubalozi wa Canada
Watu 2 wafariki kufuatia mlipuko katika Ubalozi wa Canada nchini Nigeria.
Nigeria yapitisha bajeti ya magari ya kifahari kwa wabunge
Zaidi ya wabunge 460 kila mmoja atapata gari linalokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola laki moja na nusu
Boko Haram yaua watu 37 katika shambulio la kigaidi Nigeria
Kundi la kigaidi la Boko Haram limeshambulia mwanzoni mwa wiki na kuua wanakijiji 37 Jimbo la Yobe, Nigeria.
Ziara ya Scholz Afrika kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
Ziara ya Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz nchini Ghana na Nigeria ililenga kuimarisha uhusiano wa kimkakati na kiuchumi.
Watu 17 wauawa Nigeria kufuatia shambulio la kigaidi
Shambulio hilo liliendeshwa na wapiganaji wa kundi la ISWAP lenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita IS
Ujerumani yaunga mkono Nigeria kuwa kwenye G20
Scholz ameelezea kuiunga mkono Nigeria kukubaliwa katika kundi la madola yenye nguvu kiuchumi duniani la G20.
Ujerumani kufanya biashara ya nishati na Nigeria
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amekutana na Rais wa Nigeria Bola Tinubu mjini Abuja na kujadili biashara hasa nishati.
Scholz asema Ujerumani iko tayari kuekeza Nigeria
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake iko tayari kuekeza katika gesi na madini muhimu nchini Nigeria.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 30.10.2023
Vita kati ya Israel na Hamas, Watu 48 wafariki dunia nchini Mexico kufuatia kimbunga Otis, Na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema Ujerumani inalenga kukuza mahusiano ya kibiashara na Nigeria.
Scholz: Ujerumani kukuza mahusiano ya kibiashara na Nigeria
Scholz ambaye ataitembelea pia Ghana, amesema Ujerumani inatarajia pia kuagiza gesi asilia kutoka Nigeria.
Ujerumani kuagiza gesi asilia ya Nigeria - Kansela Scholz
Kansela Olaf Scholz anaanza ziara yake katika mataifa ya Afrika Magharibi ikiwemo Nigeria na Ghana
Nigeria: Mahakama yaidhinisha ushindi wa rais Tinubu
Mahakama nchini Nigeria imeidhinisha ushindi wa Rais Tinubu, na kutupilia mbali rufaa iliyokatwa na vyama vya upinzani
Mahakama ya rufaa Nigeria kuamua rufaa ya uchaguzi wa Tinubu
Uamuzi kuhusiana na ushindi wa Rais Bola Ahmed Tinubu katika kesi ya mwisho ya rufaa ya upinzani kutolewa Alhamisi.
Nigeria yachoma tani 4 za magamba ya kakakuona
Nigeria imechoma tani nne za magamba ya kakakuona yaliyokamatwa ya thamani ya dola milioni 1.4 za Kimarekani.
Kwa nini Afrika lazima iimarishe kilimo cha kisasa ?
Wataalam wameshauri kwamba kuongezeka kwa matumizi ya mashine na teknolojia katika kilimo ni suluhisho muhimu kwa uhaba wa chakula barani Afrika. Lakini kwa nini Afrika inapaswa kuongeza kasi ya matumizi ya mashine ili kupunguza njaa?
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 19
Ukurasa unaofuatia