You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mgomo wa wafanyakazi watatiza usafiri wa ndege Nigeria
Mgomo wa mashirika ya wafanyakazi waifunga gridi ya umeme Nigeria na kutatiza usafiri wa ndege
Ghana: Senegal isaidie kutatua mizozo ndani ya ECOWAS
ECOWAS ina mizozo na mataifa ya Niger, Burkina Faso na Mali.
Rais wa Senegal afanya ziara ya kwanza nchini Nigeria
Kiongozi wa Nigeria Tinubu, amesema kuwa nchi yake na Senegal zilikuwa na nia moja kuhusu demokrasia.
Nigeria yaongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali
Serikali ya Nigeria imetangaza kuongeza mishahara ya wafanya kazi ambayo malipo yake yataanzia hapo Januari mwakani.
Watu wenye silaha wawaua wanajeshi sita wa Nigeria
Hiki ni kisa cha karibuni zaidi ambapo wanajeshi wanauliwa na magenge ya uhalifu.
Je, umewahi kusikia kuhusu ''menopause'' ya wanaume ?
Inaweza kukushangaza kwamba wanaume nao huingia katika kipindi cha menopause. Tofauti na wanawake ambao menopause inaashiria kukoma kwa hedhi, wanaume nao hupatwa na andropause yani kukoma kwa uwezo wa kuzalisha.
Watu 10 wafa, 23 wajeruhiwa kwa bomu la kutegwa Nigeria
Watu 10 wamefariki dunia na wengine 23 kujeruhiwa baada ya gari lao kukanyaga bomu kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Nigeria yasema hakuna rekodi ya vifo kutokana na dawa ya J&J
Nigeria yasema hakuna rekodi yoyote ya watoto waliokufa kutokana na kuathiriwa na aina ya dawa ya kikohozi ya J&J
Matangazo ya Asubuhi 13.04.2024
Miongoni mwa taarifa tulizokuandalia: Shule ya sekondari ya wasichana ya Chibok ambapo wanafunzi 276 wa umri kati ya miaka 16 na 18 walitekwa nyara na kundi la wanamgambo la Boko Haram miaka 10 iliyopita, sasa imechukua sura mpya.
Watu milioni 55 wakabiliwa na njaa Afrika Magharibi na Kati
Changamoto za kiuchumi ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei na kudorora kwa uzalishaji wa ndani, vimechangia hali kuwa mbaya.
Mahakama ya Borno yaamuru watu 300 kuachiwa huru Nigeria
Mwaka 2009 Boko Haram ilianzisha uasi nchini Nigeria na kuapa kuipindua serikali na kuanzisha utawala wa kiislamu.
Taarifa mbaya zinaathiri vita dhidi ya utekaji nyara Nigeria
Wanafunzi 137 waliookolewa na jeshi kutoka kwa watekaji waliwasili Kaduna tayari kuunganishwa na familia zao.
Wanafunzi waliotekwa nyara Nigeria waokolewa
Wanafunzi hao wanapata usaidizi wa kisaikolojia kabla ya kukabidhiwa kwa familia zao.
Watoto kiasi 300 waliotekwa nyara Nigeria waachiliwa
Watoto takriban 300 walioachiliwa na watekaji wako salama
Watu karibu 100 watekwa nyara na wahalifu nchini Nigeria
Utekaji nyara unaofanywa na magenge ya wahalifu ambao hudai fidia, umekuwa tukio la karibu kila siku nchini Nigeria.
Nigeria yaagiza kufunguliwa kwa mpaka wake na Niger
Mwezi uliopita ECOWAS iliamua kuuondoa vikwazo hivyo, ila mpaka huo ukawa bado umefungwa.
Watekaji Nigeria wadai kupewa kitita kuwaachia mateka
Hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa familia za mateka hao, na diwani wa eneo hilo aliyezungumza na shirika la Reuters.
Shirika la MSF laonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu Nigeria
Waasi katika eneo hilo huvamia mara kwa mara jamii, vijiji na kufanya utekaji nyara kwa lengo la kulipwa fidia.
Mpango wa kukopa na kulipia deni la matibabu Nigeria
Kutana na kikundi cha kijamii kutoka katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, ambacho kinasaidia kaya masikini kulipa madeni ya matibabu hasa kwenye maduka ya dawa, lakini hata hivyo mpango hausadii tu watu masikini pia unaziwezesha biashara za dawa kustawi.
Jeshi la Nigeria lawasaka waliowateka wanafunzi 300
Wanajeshi wa Nigeria wanaendelea na operesheni ya kuwasaka watekaji nyara waliowakamata karibu wanafunzi 300.
Watu wenye silaha wawateka wanafunzi wengine 15, Nigeria
Nigeria imekuwa ikikumbwa na matukio ya wanafunzi kutekwa na makundi ya watu waliojihami kwa silaha.
Nigeria yatuma wanajeshi kuwaokoa wanafunzi waliotekwa nyara
Tukio lingine la utekaji nyara lilitokea wiki iliyopita katika kambi za wakimbizi Kaskazini Mashariki mwa Borno.
Nigeria yafanya juhudi za kuwaokoa wanafunzi waliotekwa
Rais Tinubu pamoja na kutuma wanajeshi pia ameelezea matumaini kwamba wanafunzi hao wataokolewa na haki itapatikana.
Rais wa Nigeria atuma vikosi vya jeshi kuwaokoa wanafunzi
Rais wa Nigeria atuma vikosi vya jeshi kuwaokoa wanafunzi waliotekwa
Zaidi ya wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria
Mpaka sasa, Hakuna kundi lililodai kuhusika na shambulio hilo ingawa lawama zinaangukia kwa makundi yenye silaha
Zaidi ya wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria
Zaidi ya wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria
Wanafunzi 287 watekwa nyara kaskazini mwa Nigeria
Huo ni utekaji nyara mkubwa wa pili katika taifa hilo la Afrika Magharibi katika muda wa chini ya wiki moja.
Watu 200 watekwa nyara na magaidi kaskazini mwa Nigeria.
Waathiriwa hao walikuwa katika kambi kadhaa wakitafuta kuni katika jimbo la Borno, wakati walipovamiwa na kutekwa.
ECOWAS yaziondolea vikwazo Guinea, Mali
Jumuiya ya Maendeleo ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kupunguza vikwazo dhidi ya Guinea na Mali.
Watu 15 wauawa katika shambulio dhidi ya kanisa Burkina Faso
Shambulio hilo ni moja kati ya hujuma zinazodaiwa kufanywa na makundi ya watu wenye silaha katika eneo hilo.
Kukabili matatizo ya mimba kuharibika na mtoto kufa tumboni
Ivory Coast wafalme wa kandanda barani Afrika
Ivory Coast sasa imejiunga na Nigeria kuwa timu zilizobeba ubingwa wa AFCON mara tatu.
Cote d'Ivoire wabeba ubingwa wa Afrika
Timu ya Cote d'Ivoire imeandika historia baada ya kujinyakulia taji la ubingwa wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa kuitwanga Super Eagles ya Nigeria mabao 2-1, katika mchuano wa fainali uliopigwa katika ndimba la Olimpiki wa Ebimpe mjini Abidjan. Lakini safari yao imekuwa hadithi ya muujiza kama anavyosimulia Bruce Amani
Ivory Coast mabingwa AFCON 2024
Ivory Coast mabingwa AFCON 2024
Michuano ya AFCON yaelekea ukingoni
Uwanja wa Ebimpe mjini Abidjan kutashuhudiwa fainali kati ya Nigeria na wenyeji Ivory Coast.
Niger, Mali, Burkina Faso zashidwa kuheshimu sheria - ECOWAS
ECOWAS imesema mataifa ya Niger, Mali na Burkina Faso yameshindwa kuheshimu sheria kwa kujiondoa katika kundi hilo.
Upinzani Senegal waapa kupinga kuahirishwa uchaguzi
Nao mawaziri wa mambo ya nje wa kigeni wa ECOWAS wanakutana kwa dharura kujadili mkwamo huo wa kisiasa mjini Abuja.
Nigeria na Ivory Coast zatinga fainali za AFCON
Ivory Coast wanakuwa wenyeji wa kwanza wa michuano hiyo kuingia fainali tangu Misri ilipoingia fainali za mwaka 2006.
Nigeria yakwaaa na Afrika Kusini nusu fainali AFCON
Michuano ya AFCON inaingia hatua ya nusu fainali huku mabingwa mara tatu, Nigeria, wakipambana na Afrika Kusini leo.
Nigeria yawataka raia wake Afrika Kusini kuwa na hadhari
Nigeria imetoa wito kwa raia wake wanaoishi Afrika Kusini kuchukua tahadhari kutokana na kile ilichokiita "kitisho".
AFCON: Timu ya Kongo yaahidi "kuwaburudisha" mashabiki wake
Kocha wa Kongo: " Mechi hii ni maalum kwa DRC na pia ni kazi yetu kuwapa watu furaha na kuwafanya watabasamu."
Nigeria yalenga kubeba taji la AFCON
Mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen amesema timu yake inalenga kuendeleza rekodi nzuri AFCON.
Nigeria na DR Kongo zatinga nusu fainali AFCON
Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefuzu nusu fainali ya michuano ya AFCON, kwa kuishind Angola na Guinea.
Nigeria na DR Kongo zashinda na kufuzu nusu fainali AFCON
Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefuzu nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, AFCON.
Afrika Wiki Hii
Mripuko wa mitungi ya gesi nchini Kenya wasababisha maafa na majeruhi jijini Nairobi,Viongozi wa Afrika washiriki mkutano kuhusu ushirikiano na waziri mkuu wa Italia mjini Roma. Umoja wa Afrika watowa mwito wa kufanyika majadiliano kati ya ECOWAS na tawala za kijeshi za Niger,Mali na BurkinaFaso baada ya kutangaza kujiondowa kwenye jumuiya hiyo.Sikiliza Afrika Wiki hii na Saumu Mwasimba
Mzozo wa Sahel waendelea kufukuta
Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mkanganyiko juu ya uwepo wa ujumbe wake uliosalia nchini Mali.
Nigeria yazikosoa Mali, Niger na Burkina Faso kujitoa ECOWAS
Nigeria imezikosoa Niger, Burkina Faso na Mali kwa kujitoa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS.
Je, Germany inapaswa kupanua ushirikiano kanda ya Sahel?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock aliashiria mwaka jana umuhimu wa ukanda wa Sahel kwa nchi yake.
Jeshi la anga la Nigeria lakiri kuhusika na shambulizi
Jeshi la anga la Nigeria lakiri kuhusika na shambulizi la bomu.
Nigeria yatinga robo fainali AFCON kwa kuipiga Kamerun 2-0
Ademola Lookman alifunga mabao yote mawili katika ushindi wa Nigeria wa 2-0 dhidi ya mahasimu wao wa zamani Kamerun.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 19
Ukurasa unaofuatia