WASHINGTON: CIA yataka mkurugenzi awajibike kwa mashambulio ya tareha 11 septemba
22 Agosti 2007Matangazo
Shirika la upelelezi la Marekani CIA linataka aliekuwa mkurugenzi wa shirika hilo bwana George Tenet na maafisa wengine wa ngazi za juu wawajibike juu ya makosa yaliyofanyika kabla ya kutokea mashambulio ya kigaidi ya tarehe 11 mwezi septemba nchini Marekani.