You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ukeketaji wa kitabibu watishia mafanikio yaliofikiwa Afrika
Wakati vitendo vya "ukeketaji" vikiharamishwa nchini Kenya, sasa vimekuwa vikifanyika katika vyumba vya siri.
Je, wanasoka wa kike wanapata mikataba inayowafaidi?
Soka la wanawake linatazamiwa kuwa tasnia itakayoleta mabilioni ya dola kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Biashara ndogondogo zinachangia 40% ya pato la ndani Afrika
Biashara ndogondogo zinachangia 40% ya pato la ndani Afrika
Bobi Wine akosolewa kubadili msimamo mapenzi ya jinsia moja
Bobi Wine anadai sheria kali dhidi ya mahusiano ya jinsia moja ilishinikizwa na Rais Yoweri Museveni kuubana upinzani.
Vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia Kenya
Mafanikio ya vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia yanaweza kupatikana pale wanawake na wanaume wanapojengewa uelewa.
Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Tanzania
Wanaharakati wanasema vita dhidi ya unyanyasaji wa wanawake inapaswa kupiganwa na jinsia zote.
Wanaharakati Cameroon wapewa tuzo ya Afrika-Ujerumani 2023
Tuzo ya Afrika ya Ujerumani 2023 inatambua kazi ya wanawake wa Cameroon katika kupigania amani na haki za wanawake.
Wanawake wa Cameroon washinda Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika
Vuguvugu hilo limehusika kutuliza mizozo katika mikoa inayozungumza lugha ya kiingereza nchini Cameroon
Sanaa ya kuchora na musiki katika kuokoa wasichana
Sanaa ya muziki inapitisha ujumbe kwa namna nyepesi kabisa miongoni mwa vijana, Je wasanii wanawakumbuka shabiki zao?
Mwanamke anaepambania wanawake kumiliki ardhi
Harakati za kupigania haki ya mwanamke kumiliki ardhi nchini Tanzania sasa zinaonesha mafanikio.
TAMWA: Miaka 36 ya utetezi wa waandishi habari wanawake
Katika kuadhimisha miaka 36 tangu kuasisiwa kwake, TAMWA imesema imefanikiwa kuwatetea waandishi habari wanawake.
Chukua hatua za kupinga ukatili wa kijinsia
Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, bado jamii inakabiliwa na visa vya unyanyasaji dhidi ya kundi hili. Nini kifanyike ili hatimaye vitendo hivi viondolewe? Tizama video hii kisha utupe maoni yako
Maelfu waandamana kulaani dhulma dhidi ya wanawake
Maandamano hayo yalifanyika Uturuki, Italia, Ufaransa na nchi nyingine za Guatemala na Brazil.
Mtunisha misuli wa Tanzania anaetetea jinsia yake.
Mtazame mtunisha misuli aliyejizolea umaarufu mitandanoni nchini Tanzania baada ya kuzuka hoja na dhihaka kuhusu jinsia yake, Loveness Tarimo akitoa hakikisho la hali aliyonayo. Kwa majibu ya uhakika kuhusu jinsia yake tazama vidio ya Tatu Yahya wa Dar es Salaam.
Wanawake walioshikwa mkono baada ya maisha magumu
Kurunzi Wanawake inamulika harakati za baadhi ya wasichana na wanawake walioshikwa mkono baada ya maisha magumu.
Wanaharakati wapongeza kuwabatiza waliobadili jinsia
Wanaharakati wa haki za mashoga wamepongeza tamko la Vatican, lililotoa ruhusa ya kubatizwa kwa watu waliobadili jinsia
Jukumu la wanawake katika maeneo yenye migogoro
Katika maeneo yaliyo na mizozo wanawake wamekuwa wakifanya kazi muhimu katika mchakato mzima wa kuleta amani na usalama, lakini juhudi zao hazitambuliki kikamilifu. Wanawake na maendeleo inaangazia Jukumu la wanawake, kwenye kuleta amani na usalama katika maeneo yenye mizozo.
Wahudumu wa kike kwenye mabaa Wanadai Heshima na Utu
Huko Goma, Kivu ya Kaskazini wahudumu wanawake katika baa na kumbi za starehe wanakabiliwa na changamoto za kipekee.
Tanzania: Mauaji dhidi ya wanawake yaongezeka
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania LHRC kimesema idadi ya wanawake wanauwawa imeongezeka.
Vita vya Tigray vya waacha wanawake katika hali mbaya ya kuchanganyikiwa
Vita vya Tigray vinaweza kumalizika, lakini wanawake wengi bado wanakumbwa na hali mbaya ya kuchangayikiwa.
Idadi ya wanawake yaongezeka magerezani Afrika Mashariki
Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yanashuhudia ongezeko la wanawake kwenye magereza na vizuizi.
Wagombea wanawake ni wachache uchaguzi wa DRC - CAFCO
CAFCO imeelezea kusikitishwa na idadi ndogo ya wanawake waliokubaliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa Disemba 20.
Wanawake wa mashariki DRC wapiga hatua licha ya vita
Ruth Alonga anazungumza na miongoni mwa wale waliojikusanya kubuni na kushajiisha wenzao kwenye miradi ya maendeleo.
Mahakama India yakataa kuhalalisha ndoa za jinsia moja
Mahakama ya Juu ya India imekataa kuhalalisha la ndoa za jinsia moja.
Benki ya Dunia kuwalinda mashoga Uganda
Benki ya Dunia inakusudia kuhakikisha kuwa mashoga na waliobadili jinsia hawabaguliwi katika miradi ya taasisi hiyo.
Juhudi za kukomesha ukeketaji wasichana na wanawake
Kadhia ya ukeketaji wa wasichana na wanawake ingali inafanywa kisirisiri miongoni mwa baadhi ya jamii za Afrika. Mashirika ya kimataifa na watunga sera mbali mbali barani humo wanahimiza sera na sheria kali kutungwa kukabili kadhia hiyo.
Jukumu la wanawake kuleta amani katika maeneo ya mizozo
Machafuko na mizozo inapotokea wanawake na watoto ni waathirika wa kubwa, hata hivyo katika kufanikisha mchakato wa amani kwenye maeneo ya mizozo wamekuwa mstari wa mbele.
Wanawake wahamasishaji wa chanjo ya Uviko-19 Mombasa
Wakaazi baadhi Mombasa Kenya hawakupata chanjo ya Uviko-19, kutokana na sababumbalimbali. Kundi la wanawake limejitolea kuhamasisha jamii ili kupata chanjo hiyo lakini wanakabiliwa na changamoto chungunzima.
Uganda: Ruksa wasichana kutumia uzazi wa mpango
Mpango wa serikali nchini Uganda kuruhusu wasichana kuanzia miaka 15 kutumia dawa za uzazi wa mpango wapingwa na jamii.
Mamia ya Waislamu waandamana Kenya kupinga ushoga
Makundi ya kutetea haki za binadamu yamekemea maandamano hayo na kuyataja kuwa "hatari".
Mwanaharakati wa Iran Narges ashinda tuzo ya Nobel 2023
Mwanaharakati wa Kiirani anaetumikia kifungo gerezani Narges Mohammadi ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 2023.
Guterres ampongeza Mohammadi kwa kushinda Tuzo ya Nobeli
Mohammadi ambaye bado yuko jela amesema anatumai ushindi huo utawafanya Wairan wanaoandamana kushinikiza mabadiliko.
Narges Mohammadi ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel
Ushindi huo ni baada ya jopo la wataalam nchini Norway kufanya mchujo kutoka kwenye orodha ya mapendekezo takriban 350.
Narges Mohammadi ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel
Iran ni moja ya mataifa yanayotajwa kuwa na rekodi mbaya kabisa ya haki za binaadamu ulimwenguni.
Ukandamizaji wa wanawake unazidi kuongezeka Afghanistan
Wanafamilia wa kiume wachangia katika utekelezaji wa amri kali za utawala wa Taliban
India: Wanawake wanasiasa kutapata viti vingi Bungeni
India imepitisha sheria inayowahakikishia wanasiasa wanawake viti vingi zaidi, katika bunge la nchi hiyo.
Iran: Wanachama 28 wa kundi la kigaidi la "IS" wakamatwa
Maafisa wawili wa usalama walijeruhiwa wakati wa operesheni hiyo.
Shimoni:Nguvu ya filamu ndani ya mwanamke
Tamasha la Filamu za Kiafrika la Köln linafanyika kwa mara ya 20, Angela Wanjiku Wamai mtengenezaji wa filamu kutoka Kenya anaonesha filamu yake kwa mara ya kwanza katika jukwaa hilo la kimataifa, filamu yake inaonesha na kutambua mapambano ya mtu mmoja mmoja kwenye jamii katika kuleta mabadiliko.
Wanawake na uwekezaji kiuchumi
Makala ya Wanawake na Maendeleo safari hii inaangazia muamko wa wanawake wa Tanzania katika kuingia kwenye aidha vikundi ama taasisi zinazojihusisha na fedha.
Iran: Wabunge waidhinisha muswada wa sheria kali za mavazi
Wanawake watakaokaidi kuvaa hijabu au mavazi yanayofaa, watakabiliwa na kifungo cha miaka 5 hadi 10 jela.
Iran : Wabunge waidhinisha adhabu kali dhidi ya wanawake
Wabunge wa Iran wamepitisha muswada wa kutaka adhabu kali zaidi kwa wanawake wanaokiuka kanuni ya mavazi ya Kiislamu.
Afya Yako: Chanzo cha ongezeko la saratani ya kizazi
Ugonjwa wa Saratani ya kizazi ni wa nne kati ya saratani zinazokumba wanawake duniani kulingana na Shirika la Afya Duniani. Sasa kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya imeanza kuangaziwa na wataalamu wa afya kutokana na jinsi ugonjwa huu unaendelea kuongezeka katika sehemu hiyo. Kwenya makala ya afya yako hivi leo tunaangazia chanzo cha kuongezeka kwa maradhi ya saratani ya kizazi.
Rubiales akana mashitaka dhidi yake
Rubiales anatuhumiwa kwa kumbusu mdomoni mchezaji wa kikosi cha taifa cha wanawake cha Uhispania.
Saudi Arabia kutumia nyota wa soka kuna athari za kisiasa?
Saudi Arabia inakosolewa kwa "kutumia michezo" ikiwemo soka kuziba rekodi yake ya haki za binadamu.
UN: Lengo la usawa wa kijinsia halitaweza kufikiwa 2030
bado wanawake wanakabiliwa na vikwazo kuanzia uwanja wa kijamii, kiuchumi hadi kisiasa kutokana na upendeleo.
Watu wasiopungua 26 wafa katika ajali ya boti, Nigeria
Kwa mujibu wa maafisa hiyo ni ajali ya pili kubwa kuwahi kutokea kwenye eneo hilo ndani ya kipindi cha miezi mitatu.
Wanaharakati Uganda waikosoa EU kufuatia sheria ya LGBTQ
Sheria iliyopitishwa dhidi ya vitendo vya ushoga nchini Uganda inatoa adhabu kali ikiwemo uwezekano wa hukumu ya kifo
Joyce Kiria mtetezi wa haki za wanawake Tanzania
Ungana na Selina Mdemu aliyemwalika ''The Super Woman'' Joyce Kiria moja kati ya wanaharakati wa kutetea na kupigania haki za wanawake wanaopitia ukatili wa kijinsia nchini Tanzania katika Makala ya wanawake na Maendeleo.
Jorge Vilda afutwa kazi kama kocha wa Uhispania
Shirikisho hilo pia “limeomba radhi” kwa kile ilichokiita tabia isiyokubalika ya Rubiales.
Wanawake wanapoamua kujifunga kizazi
Jasmin mwenye umri wa miaka 25 alifungwa kizazi kwa sababu hataki kupata watoto. Lakini kupata daktari ambaye angefanya upasuaji haikuwa rahisi.Je mbinu gani alitumia? Tazama video
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 21
Ukurasa unaofuatia