Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba mataifa mengi yanayoongozwa na wanawake ulimwenguni yameonyesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya virusi vya corona. Walifanyaje hadi kufika hapo. Makala ya wanawake na maendeleo inakutajia baadhi ya waliofanikiwa zaidi katika vita hivi.