Wanawake na utamaduni wa 'upatu'To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoCarolyne Robi Tsuma09.10.20159 Oktoba 2015Ungana na Caro Robi kweye makala hii ya "Wanawake na Maendeleo" akizungumzia utamaduni wa upatu miongoni mwa wanawake katika jamii za Afrika Mashariki ambao umekuwepo kwa muda mrefu na umekuwa moja ya njia za kuwawezesha kukimu maisha yao.https://p.dw.com/p/1GlrTMatangazo