Matangazo
Idadi ya wanawake wanaoendelea kudhalilishwa kingono imeongezeka tofauti na miaka miwili iliyopita katika eneo la mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Msikilizaji wa DW Kiswahili karibu Katika Makala ya Mbiu ya Mnyonge,leo Mwandishi wetu Alex Mchomvu anaangazia ongezeko la visa vya ubakaji dhidi ya Wanawake katika mkoa wa Kivu Kaskazini huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.