Tutatumia njia zote kupambana na umasikini! Shirika la Ujerumani la Brot gegen not limewapa mafunzo ya kuoka mikate baadhi ya wanawake nchini Uganda ili kukabiliana na umaskini. Wanawake hao ambao awali hawakuwa na ujuzi wowote, sasa wana nafasi ya kuendesha maisha yao kwa biashara ya kuuza mikate