Matangazo
Rais Kenyatta alisikika akitoa kauli zinazoelezwa kuwa ni za vitisho kwa uhuru na utendaji wa mahakama, huku akiyakosoa vikali maamuzi ya majaji wa mahakama.
Lilian Mtono amezungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa chama cha wanasheria aliyeko Nairobi, Kenya Mercy Wambua, ili kufahamu jinsi wanasheria walivyoyachukulia matamshi hayo ya Rais Kenyatta. Sikiliza taarifa hii.