1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati wapinga mabadiliko ya sheria za haki Tanzania

4 Juni 2020

Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamepinga vikali mabadiliko ya sheria inazosimamia masuala ya haki za binadamu ya mwaka 1994 pamoja na ile inayosimamia uongozi katika muhimili wa mahakama.

https://p.dw.com/p/3dGnk
Wanaharakati wa THRDC na MCTPicha: DW/S. Khamis

J3Tanzania: HR organisations disoute ammenments to human rights law in TZ - MP3-Stereo

Sehemu ya mabadiliko katika sheria hizo inatajwa kuweka kinga dhidi ya serikali, muhimili wa bunge na mahakama jambo linalotajwa litaathiri pakubwa utawala wa kikatiba na sheria.