Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hatua ya rais Felix Tshisekedi kuwapa msamaha maafisa wawili waliokutwa na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma imesababisha manung'uniko, na tuhuma za undumilakuwili katika kupambana na tatizo sugu la rushwa. Sikiliza ripoti ya Mwandishi wetu Jean Noel Ba-Mweze.