1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakuu wa ujasusi Afrika wakutana Kigali

Sylivanus Karemera5 Agosti 2016

Mkutano huo unaojumuisha viongozi wa nchi 51 na ulio wa faragha umefunguliwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda. Viongozi wanajadili kupambana na vitisho vya usalama kutoka ndani na nje ya bara la Afrika.

https://p.dw.com/p/1Jc33
Wakuu wa ujasusi kutoka Afrika
Picha: DW/S. Karemera

[No title]