You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wakurdi
Wakurdi ni kundi la kikabila linalokutikana katika maeneo ya nchini Uturuki, Iran, Iraq na Syria.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Watano wauawa katika shambulizi la "kigaidi" nchini Uturuki
Vikosi vya anga vya Uturuki vimeharibu vituo 32 vya PKK wanaodhaniwa kushambulia kiwanda hicho cha vifaa vya ndege.
Watu wanane wauawa katika mlipuko wa bomu Syria
Shirika la Haki za Binaadamu la Syria limesema watu zaidi ya 20 walijeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya gari.
Iraq yawarejesha makwao wakimbizi 625 kutoka kambi ya Syria
Iraq yawarejesha makwao wakimbizi 625 kutoka kambi ya Syria
Mashambulizi ya Uturuki yauwa wawili kaskazini mwa Iraq
Raia wawili wauwawa Irak katika mashambulizi ya angani ya Uturuki
Iran yawanyonga watuhumiwa wanne waliohusishwa na Mossad
Watuhumiwa hao walidaiwa kuingia kwa njia zisizo halali katika ardhi ya Iran kutoka jimbo la Kurdistan nchini Iraq.
Uturuki yashambulia maeneo ya magaidi Iraq na Syria
Mashambulizi hayo yamefanyika baada ya vifo vya wanajeshi tisa wa nchi hiyo waliouwawa Iraq
Uturuki yashambulia ngome za Wakurdi nchini Syria na Iraq
Uturuki imetanua kampeni yake ya kijeshi dhidi ya makundi ya Wakurdi huko Syria na Kaskazini mwa Iraq.
Wanajeshi 2 wa Iraq na wapiganaji 2 wa Peshmerga wauliuwa
Wanajeshi sita na wapigananji sita wa Pershmerga walijeruhiwa. Wanajeshi wawili wako katika hali mbaya.
Uturuki yafanya mashambulizi mengine dhidi ya wakurdi Iraq
Uturuki inalichukulia kundi la PKK kuwa kundi la kigaidi na imekuwa ikipambana nalo kwa miaka sasa.
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq,
Uturuki yadai kuwauwa wapiganaji wengi wa PKK
Chama cha PKK kimeorodheshwa kama kundi la kigaidi na Uturuki, Marekani na Umoja wa Ulaya.
Uturuki yawaandama PKK kufuatia mashambulizi Ankara
Wapiganaji wawili wa Kikurdi waliripua bomu kwenye majengo ya wizara ya ndani ya Uturuki mjini Ankara.
Iran, Iraq zakubaliana kupambana na 'magaidi' Kurdistan
Iran na Iraq zitayang'anya silaha na kuyahamisha yale zinazoyaita 'makundi ya kigaidi' katika jimbo la Kurdistan.
Kampeni za uchaguzi zapamba moto nchini Uturuki
Uchaguzi huu ni changamoto kubwa kwa rais Erdogan ambaye utawala wake kwa sasa unakabiliwa na matatizo ya kiuchumi.
Uturuki yawakamata watu 110 kwa madai ya kigaidi
Polisi ya Uturuki imewakamata watu 110 kwa madai yanayofungamana na kundi la kigaidi.
Mpinzani mkuu wa Erdogan anawatetea Wakurdi
Mpinzani mkuu wa Rais Recep Tayyip Erdogan katika uchaguzi wa mwezi ujao ametetea haki za Wakurdi
Mashambulizi ya Uturuki Kurdistan yaikasirisha Iraq
Rais wa Iraq Abdel Latif Rashid leo amelaani shambulizi la Uturuki dhidi ya uwanja wa ndege wa Sulaimaniyah.
Baerbock amaliza ziara yake Irak kwa kutembelea Bundeswehr
Baerbock alitembelea maeneo yalioshuhudia ukatili wa kundi la kigaidi la Dola la Kiislamu, katika mkoa wa Sinjar.
Ujerumani kuwasaidia Wakurdi walioachwa bila makaazi
Amezungumza hayo alipokutana na Masrour Barzani waziri mkuu wa maeneo yanayojitawala ya Kikurdi kaskazini mwa Iraq
Uturuki yachukuwa hatua dhidi ya uchomaji Quran barani Ulaya
Uturuki iliwaomba raia wake kuchukuwa tahadhari na kukaa mbali na maeneo yanakofanyika maandamano hayo.
Shambulizi Paris Ufaransa, watu watatu wauawa
Watu watatu wameuawa kwa kupigwa risasi Paris, baada ya risasi kufyatuliwa dhidi ya kituo cha Wakurdi.
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 20.11.2022
Makubaliano ya mwisho katika Mkutano wa COP 27 bado hayajafikiwa. Jeshi la Rwanda lamuua mwanajeshi wa Kongo aliyevuka mpaka. Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak afanya ziara mjini Kiev.
Kiongozi Mkuu wa Iran ailaumu Marekani na washirika wake
Umoja wa Ulaya umependekeza vikwazo vipya dhidi ya Iran kutokana na ukandamizaji wa waandamanaji.
Matangazo Ya Jioni: 02.10.2022
Jumuiya ya kujihami ya NATO yaionya Urusi juu ya vitisho vyake vya nyuklia. Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani atoa wito wa kusitisha vita nchini Ukraine. Lula na Bolsonaro wachuana vikali katika uchaguzi wa rais nchini Brazil.
Iraq kumuita balozi wa Iran kupinga mashambulizi
Iraq kumuita balozi wa Iran mjini Baghdad kupinga mashambulizi jimboni Kurdistan
Vita vya Syria vilisababisha vifo 3,700 mwaka wa 2021
Idadi hiyo ni ya chini ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka uliopita.
Maelfu ya Wairan wamuaga kamanda Soleimani
Soleimani liuawa kwenye shambulizi la anga lililofanywa na vikosi vya Marekani ijumaa iliyopita mjini Baghdad.
Uturuki na Urusi kuanza doria ya pamoja
Ujumbe wa Syria wakutana Geneva
Siku 6 za kuweka chini silaha zaelekea ukingoni Syria
Siku 6 za kuweka chini zinamaliza nchini Syria
Wanajeshi wa Urusi wawasili Syria
Wizara ya ulinzi ya Urusi inasema karibu wanajeshi mia tatu wa nchi hiyo wamewasili Syria Ijumaa.
Wanamgambo wa kikurd walihama eneo linalopakana na Uturuki
Wanamgambo wa kikurd walihama eneo linalopakana na Uturuki
Putin na Erdogan waijadili Syria
Wanamgambo wa Kikurdi wanapambana na vikosi vya Uturuki kaskazini mwa Syria.
Vikosi vya Syria vyaingia mji muhimu wa Kobani
Syria yaukamata mji wa Kobani, bunge la Marekani lapitisha azimio kulaani hatua ya Trump kuwatupa mkono Wakurdi
Pence kuzuru Mashariki ya Kati
Rais Trump kumtuma makamu wake Mashariki ya kati katika juhudi za usuluhishi kati ya Uturuki na Wakurdi
Wakurdi, Serikali ya Syria kushirikiana dhidi ya Uturuki
Vikosi vya Syria vyapelekwa kwenye mpaka wa Kaskazini baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano na Wakurdi
Uturuki yaendeleza mashambulizi Syria
Vikosi vya uturuki, vilisonga mbele na kudhibiti barabara muhimu kaskazini mashariki mwa Syria
Uturuki yaendeleza mashambulizi dhidi ya Wakurdi Syria
Ndege za kivita za Uturuki na makombora zimeyashambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi kaskazini mashariki mwa Syria.
Erdogan atishia kuwaachilia wakimbizi wa Syria Kuingia Ulaya
Erdogan asema vikosi vyake vimewaua wanamgambo 109.
Vikosi vya Uturuki vyaendeleza mashambulizi Syria
Uturuki imesema vikosi vyake vimekamata baadhi ya maeneo waliyoyalenga Syria
Hofu juu ya kuibuka tena IS baada ya Marekani kuondoka Syria
Kuna hofu ya kuibuka mashambulizi mapya kutoka kwa makundi yenye misimamo mikali pamoja na kundi la IS.
Putin, Erdogan wataka suluhisho la kisiasa Syria
Kundi la YPG linaoungwa mkono na Marekani limejiondowa kwenye maeneo wanayoyashikilia.
Putin, Erdogan wakutana kuzungumzia Syria
Rais wa Urusi akutana na rais wa Uturuki Erdogan
Serikali ya Uturuki imeushambulia kwa ndege mji wa Kurdistan
null
Wanamgambo 3,000 wa IS wajisalimisha
Wapiganaji 3,000 wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS wamejisalimisha kutoka kwenye ngome yao ya mwisho ya Baghouz
Ujerumani yajadili kuwarejesha wapiganaji wa IS kutoka Syria
Ujerumani yajadili kuwarejesha nyumbani raia wao waliokwenda kupigana Syria kuliunga mkono kundi la IS.
Mamia wakimbia eneo la mapigano nchini Syria
Vikosi vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Syria vimefanya mashambulizi ya kuwaondoa wapiganaji wa IS
Marekani na Uturuki zajadili hali ya Kaskazini mwa Syria
Uturuki yasema vitisho vya kiuchumi dhidi ya nchi yake havisaidii huku mivutani ikijitokeza kati ya nchi mbili hizo.
Trump: Nitailemaza kiuchumi Uturuki ikiwashambulia YPG
Uturuki imeapa kuendelea kupambana na wanamgambo wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani.
Wanajeshi wa Marekani waanza kuondoka Syria
Urusi inasema Marekani haina nia ya kuondoka Syria
Bolton aondoka mikono mitupu Uturuki kuhusu Wakurdi
Ziara ya Bolton imefanyika sambamba na ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo Mashariki ya Kati
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 4
Ukurasa unaofuatia