Raia wa kigeni wenye asili ya Uturuki waisho Ujerumani na mataiafa ya pembeni wamafanya maandamano yao ya kumpinga rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan. Hii ni fursa pana ya kidemokrasia ya Ujerumani. Je katika taifa lako upo uwezekano wa kuruhusu wananchi kutoka jirani kuja kumpinga kiongozi wa karibu nawe?