Jimbo la Turkana linalofahamika kuwa chimbuko la mwanadamu, lina sura nyingine ambayo mara nyingi hukosa kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari. Hizi ni juhudi za wakazi za kujitosheleza kwa chakula pamoja na biashara. Makala yetu leo inasimuliwa na Shisia Wasilwa.