1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya wakerwa na bunge kuhusu mswada wa kodi

Sophia Nyevu Chinyezi21 Septemba 2018

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametia saini Mswada wa Fedha wa mwaka 2018. Mswada huo ulipitishwa na Bunge la Kenya siku ya Alhamisi, katika mjadala ulioshuhudia vurugu. Baadhi ya wananchi nchini humo wameelezea hisia zao kuhusu hatua hiyo

https://p.dw.com/p/35IlY