1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakati gani ni sahihi kwa kijana kuondoka nyumbani?

25 Septemba 2012

Katika jamii nyingi za Afrika, hasa Afrika ya Mashariki, bado wazee wanakuwa wagumu kuwaacha vijana wao kuondoka nyumbani na kuanzisha maisha yao wenyewe hata wanapofikia umri wa miaka 18, kama si kwa kuoa au kuolewa.

https://p.dw.com/p/16DhM
Vijana nchini Lesotho.
Vijana nchini Lesotho.Picha: ddp images/AP Photo/Jerome Delay

Stumai George anatupia macho msukumo wa wazee kukataa au kukubali vijana wao kuhama nyumbani, na pia kilichopo nyuma ya vijana hao kuondoka nyumbani hata kama hali haiwalazimishi hivyo. Kusikiliza makala hii, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji: Stumai George
Mhariri: Mohammed Abdulrahman