1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakaazi wanasemaje baada ya jengo kuanguka, Kariakoo?

19 Novemba 2024

Kumekuwa na hali ya taharuki tangu mwishoni mwa wiki iliyopita huko nchini Tanzania kufuatia kisa cha kuanguka jengo moja la ghorofa nne katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Bado chanzo hakijajulikana, lakini mengi yanazungumzwa na kubwa likiwa hoja inayojikita kwenye ubora ya jengo hilo na mengine kwenye eneo hilo. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4nAaQ