Visa vya watu kupigwa na radi na kufariki eneo la Bonde la Ufa huko Kenya, vimekuwa vikiongezeka kwa muda sasa. Mwandishi wa DW Wakio Mbogho amelivalia njuga suala hilo na hapa anawaangazia wahanga wa mikasa hiyo ya kupigwa na radi katika makala ya Mbiu ya Mnyonge.