Bunge la Uganda linajiandaa kujadili marekebisho ya sheria ya afya kwa umma ya mwaka 2021 ambayo itawalazimu raia wote wa taifa hilo la Afrika mashariki kupata chanjo dhidi ya Covid 19. Baadhi ya makundi ya kiraia yamesema yatakwenda mahakamani kupinga sheria hiyo.