Kisa cha wachimbaji waliookolewa baada ya siku 4104.12.20154 Desemba 2015Wachimbaji watano wadogo wadogo wa dhahabu waliokolewa kutoka mgodini Nyangarata baada ya kufukiwa na kukaa huko kwa siku 41. Hawakukata tamaa, licha ya kukosa chakula na maji na mmoja wao kufariki.https://p.dw.com/p/1HHg3Picha: DW/V.NatalisMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioJoseph Bulule mmoja kati ya wahanga akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa DW Veronica NatalisPicha: DW/V.Natalis Duara namba 1B - Njia iliyotumika kuwatoa wahanga kwenye mgodiPicha: DW/V.Natalis Nyumba wanazoishi wachimbaji wadogo katika mgodi wa NyangarataPicha: DW/V.Natalis