1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachambuzi wazungumzia sheria mpya za COVID, Marekani

Josephine Karema30 Julai 2021

Rais wa Marekani Joe Biden amewashauri viongozi wa majimbo kuwalipa wakazi dola 100 ili wapigwe chanjo dhidi ya COVID-19. Aidha ameweka sheria mpya zinazohitaji wafanyakazi wote wa serikali kuonyesha uthibitisho wa chanjo au kulazimika kupimwa ugonjwa mara kwa mara, kuvaa barakoa pamoja na vikwazo vya kusafiri. Tatu Karema alizungumza na Profesa David Monda, mchambuzi wa kisiasa aliyeko New York.

https://p.dw.com/p/3yKn6