Baada ya rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kuzindua rasmi ripoti ya jopo la maridhiano, BBI, mchambuzi wa masuala ya siasa nchini humo Herman Manyora amezungumzia yaliyomoa na hasa kuhusu mfumo wa serikali unaopendekezwa katika ripoti hiyo na iwapo uteuzi wa waziri mkuu utakaofanywa na rais na kuidhinishwa na bunge utakuwa na nafasi katika kuwaunganisha wakenya. Sikiliza.