Baada ya viongozi wa upinzani Somalia kutangaza kutomtambua tena Rais Mohamed Abdullahi Mohamed baada ya muhula wake kumalizika leo kabla ya kupatikana makubaliano ya kisiasa ya kufanya uchaguzi wa kuamua mrithi wake, nini kinafuata? Mchambuzi wa masuala ya kisiasa ya Somalia aliyeko Nairobi, Kenya Mohammed Abdulla alizungumza na Yusra Buwayhid.