Wakenya watalazimika kufadhili mfumo mpya wa serikali unaopendekezwa katika ripoti ya Mpango wa Maridhiano BBI na kura ya maoni inayotarajiwa kufanyika ili kuidhinisha au kukataa mapendekezo yaliyomo katika ripoti hiyo. Amina Abubakar anazungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya Martin Oloo kuhusu ripoti hiyo.