1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachambuzi: Kitendo cha Rwanda ni pigo kwa mchakato wa amani DRC

5 Agosti 2022

Ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa imeituhumu tena Rwanda kwa kuingilia kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kwa kutuma wanajeshi wake kusaidia wapiganaji wa kundi la M23 wanaoedesha mashambulizi mashariki mwa Kongo, au kuendesha operesheni dhidi ya kundi jingine la waasi la Democratic Forces for the Liberation of Rwanda, FDLR.

https://p.dw.com/p/4FByw

Hata hivyo, Rwanda imeipinga ripoti hiyo kama ambavyo imekuwa ikifanya tangu zamani. Kuchambua ripoti hiyo, Hawa Bihoga amezungumza na Bryan Wanyama, mchambuzi wa masuala ya migogoro ya kimataifa na uchumi kutoka mjini Bungoma, Kenya.