Katika Afrika wiki hii yaliyomo huko DRC waasi wa M23 waibuka tena upya na kuzusha taharuki nchini humo na huko Kenya mahakama ya juu kabisa yazuia marekebisho ya katiba yaliyopendekezwa na rais Kenyatta.Na DRC yaidhinishwa mwanachama mpya wa jumuiya ya Afrika Mashariki.Jiunge na Saumu Mwasimba